May 16, 2022

Day

Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu Yashiriki Maonesho ya Ubunifu Kitaifa Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu yashiriki maonesho ya ubunifu yaliyofanyika katika viwanja vya jamuhuri jijini Dodoma yaliyobeba kauli mbiu isemayo “Ubunifu kwa Maendeleo Endelevu”. Maonesho haya yalihudhuriwa na taasisi mbalimbali na kuonyesha teknolojia mbalimbali bunifu zilizopo katika taasisi zao. Mgeni rasmi katika ufunguzi...
Read More