Latest News

Category

Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bw. Nathan Belete amepongeza Kituo cha Umahiri cha Mashariki na Kusini mwa Afrika cha kudhibiti panya na matumzi yake katika kunusa (ACE IRPM & BTD) kwa kutumia fedha zilizotolewa na Benki hiyo kama ilivyokusudiwa.     Mkuu wa Kituo cha Umahiri cha Mashariki na Kusini mwa Afrika...
Read More
Kwa taarifa kamili tembelea http://suamedia1994.blogspot.com/2023/08/sua-yaibuka-kidedea-ushindi-wa-vyuo.html
Read More
Mhe. Selemani Jafo akiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Prof. Raphael Chibunda pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Taaasisi ya Udhibiti wa Viumbe Hai waharibifu Prof. Abdul Katakweba alitembelea banda la Taaasisi ya Udhibiti wa Viumbe Hai waharibifu (IPM) katika maonesho ya nanenane kanda ya mashariki 2023.     Katika banda...
Read More
Taasisi ya Udhibiti wa Viumbe Hai Waharibufu SUA (IPM) inashiriki maonesho   ya  wakulima kanda ya mashariki katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere vilivyopo mkoani Morogoro. Maonesho haya ya wakulima yaliyobeba kauli mbiu isemayo “Vijana na Wanawake ni Msingi Imara wa Mifumo Endelevu ya Chakula”. Lengo la kauli mbiu hii ni kuhamasisha ushiriki wa vijana na...
Read More
Taasisi ya Udhibiti wa Viumbe Hai Waharibufu yashiriki Kumbukizi ya 18 ya Hayati Edward Moringe Sokoine inayofanyika katika viwanja vya michezo Kampasi kuu SUA kuanzia Mei 23 hadi 26. Taasisi imepata nafasi ya kuonyesha teknolojia mbalimbali katika maonesho haya.     Katika ushiriki wa Kumbukizi hii Taasisi ya Udhibiti wa Viumbe Hai Waharibifu  imepata fursa...
Read More
Watafiti wa Taasisi ya  udhibiti viumbe hai waharibufu(SUA) Prof.Rhodes Makundi  akiambatana na watafiti wengine kutoka taasisi ya kudhibiti viumbe hai waharibifu, Madagasca na uingereza  watoa mafunzo ya udhibiti wa panya katika mashamba ya mpunga Ichonde na Kanolo  vilivyopo Wilayani Kilombero mkoani Mororgoro. Mafunzo haya yamehudhuliwa na wakulima na viongozi mbalimbali wa ngazi ya kata na...
Read More
Rationale Effective management of rodents in agricultural systems needs a strong ecological foundation. In this course we will foster the importance of population ecology in pest management, together with an emphasis on farmer participatory research as a foundation for technology transfer.                            ...
Read More
PhD student sponsored by Africa Centre of Excellence for Innovative Rodent Pest Management and Biosensor Technology Development (ACE IRPM & BTD) participate on Student Conference On Conservation Science 28th – 30th March 2023 as a student exchange program at the university of Cambridge, Downing street, Cambridge , UK.                ...
Read More
The Africa Centre of Excellence for Innovative Rodent Pest Management and Biosensor Technology Development (ACE IRPM & BTD) organized a Field School for Knowledge (FSK) in the Selous Game Reserve for a group of 22 Masters Students from 05th -12th December 2022. Field Schools for Knowledge are practical-oriented activities that impart basic research and data collection skills...
Read More
1 2 3 8