May 7, 2022

Day

Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu yashiriki maonyesho ya ubunifu yaliyofanyika kampusi ya Solomon mahlangu (Mazimbu-SUA) yaliyobeba kauli mbiu isemayo “Ubunifu kwa Maendeleo Endelevu”. Maonyesho haya yalihudhuliwa na idara mbalimbali na kuonyesha teknolojia mbalimbali bunifu zilizopo katika idara hizo. Mgeni rasmi wa maonyesho haya alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Morogoro  Mhe.Albert Msando. Katika maonyesho...
Read More