March 3, 2022

Day

Wananchi wamepewa mafunzo namna kutumia mitego ya panya ili kuzuia uharibifu ambao unaweza kusababishwa na panya hao katika mazingira wanayoishi na mazingira jirani na makazi yao. Mafunzo hayo  yametolewa na Professa  Makundi kutoka Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu SUA Pamoja na Prof  Steve Belmain, (Mshirika wa tafiti) kutoka  Chuo kikuu cha Greenwich Uingereza ambaye...
Read More