November 12, 2021

Day

[metaslider id=”4690″] Watafiti kutoka Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu SUA wamefanya ziara ya kiutafiti katika Mikoa ya nyanda za juu kusini na katavi ikiwa ni mwendelezo wa ziara zilizofanyika katika mikoa mingine¬† ili kuangalia na kuidhinisha maeneo mapya ya Utafiti wa matatizo yanayosababishwa na panya.¬† Watafiti hao Prof. Apia Massawe na Prof. Loth Mulungu...
Read More