July 23, 2021

Day

[metaslider id=”4554″] Watafiti kutoka Taasisi ya Udhibiti wa Viumbe Hai Waharibifu wameanza kufanya tafiti katika vijiji vya Mkula, Msufini ,Sonjo na Katulakila katika Kata ya Mkula Wilayani Kilombero Mkoa wa Morogoro. Tafiti za awali zimelenga kuangalia ni aina gani ya panya wanaopatikana katika vijiji hivi na aina gani ya¬† vimelea vya magonjwa vinavyobebwa kwenye miili...
Read More