August 4, 2022

Day

Maonesho ya Nanenane kanda ya mashariki mikoa ya (Pwani, Dar es salaam, Tanga na Morogoro) yaliyoanza tarehe 01/08/2022, yamezinduliwa rasmi na Waziri Mkuu Mstaafu awamu ya nne Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda leo tarehe 04/08/2022 katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere Mkoani Morogoro. Maonesho haya ya kilimo, Mifugo na Uvuvi yamebeba kauli mbiu isemayo ÔÇťAgenda...
Read More