August 1, 2022

Day

Maonyesho ya kilimo, mifugo na uvuvi yameanza rasmi katika viwanja vya nanenane Mkoani morogoro. Maonyesho haya yamekuja na kauli mbiu inayosema “Agenda 10/30 kilimo ni biashara, Shiriki kuhesabiwa kwa mipango bora ya kilimo, mifugo na uvuvi”. Pia katika maonyesho haya Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu imeshiriki kuwapatia wakulima na wafugaji elimu ya udhibiti wa...
Read More