January 24, 2022

Day

Watafiti kutoka Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu SUA wamefanya ziara ya kiutafiti katika Zanzibar ili kuangalia na kuidhinisha maeneo mapya ya Utafiti wa matatizo yanayosababishwa na panya. Watafiti hao Prof. Apia Massawe na Prof. Loth Mulungu wametembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Zanzibari (ZARI) lengo kuu likiwa ni kukutana na watafiti wa taasisi hiyo...
Read More