January 10, 2022

Day

[metaslider id=”4737″] Panya ni wanyama waharibifu wa mazao mengi yakiwemo mahindi na mpunga kuanzia shambani hadi ghalani. Hasara/upoteaji wa mazao shambani kutokana na athari za panya hutofautiana kutokana na maeneo na majira ya mwaka kwa sababu uwing wao pia hutofautiana kwa sehemu na majira ya mwaka pia. Kwa muda mrefu sasa, wakulima wamekua wakitumia viwatilifu...
Read More