March 27, 2019

Day

Maafisa wawili toka Umoja wa Afrika, Dkt Monica EbeleIdinoba na Bi Khadidiatou, walitembelea Kituo cha Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu, SUA, kwa siku mbili, tarehe 25 hadi 26 mwezi Machi, mwaka 2019. Lengo lilikuwa kujionea maendeleo ya mradi wa udhibiti wa panya unaofadhiliwa na Jumuiya ya Ulaya kupitia Umoja wa Afrika (AU). Mradi huu wa miaka...
Read More