Elimu Kuhusu Ugonjwa wa Malaria, Kujikinga na Mbu Pamoja na Matumizi Sahihi ya Vyandarua vyenye Dawa.

Watafiti kutoka Taasisi ya Udhibiti wa Viumbe Hai Waharibifu  SUA wametoa mafunzo ya udhibiti wa mazalia ya mbu na matumizi sahihi ya vyandarua vyenye dawa katika Kijiji cha Unone wilayani Kilosa, Mkoani Morogoro.

Mafunzo haya yaliyobeba kauli mbiu inayosema “Tumia Chandarua Bora Chenye Dawa Kuzuia Ugonjwa wa Malaria”. Hii ikiwa ni muendelezo wa tafiti zilizoanza kufanyika katika wilaya ya Kilosa hususani kwenye vijiji venye visa vingi  vya ugonjwa wa malaria.

   

Watafiti wakishirikiana na viongozi wa Kijiji cha Unone ambao ni Mtendaji, Mwenyekiti wa kijiji  na wenyeviti wa vitongoji walihamasisha jamii kuongeza juhudi za kutumia vyandarua kwenye kila kaya na pia kuzuia kuzaliana ya mbu kwenye makazi. Pia, watafiti wakishirikiana na waalimu wa shule ya msingi Unone kutoa mafunzo juu ya kujikinga dhidi ya ugonjwa wa Malaria kwa wanafunzi.

Zoezi lilianza kwa kuwapima uelewa wanafunzi kuhusu ugonjwa wa malaria kwa kujaza dodoso. Dodoso hii ilikuwa na maswali mbalimbali ya uelewa kuhusu malaria, njia za kujikinga na malaria,matumizi ya chandarua chenye dawa n.k.

 

Wanafunzi walioshiriki katika kujaza dodoso ni wanafanzi wa darasa la nne, tano,  na la sita ikiwa ni jumla ya wanafunzi 267, wasichana 154 na wavulana 123. Zoezi hili lilifanywa na watafiti kutoka Taasisi ya Udhibiti  wa Viumbe Hai Waharibifu  kwa kushirikiana na Mwl.Mkuu wa shule ya msingi Unone Mwl. Sostenes Msebi Dimoso.

Baada ya kujaza dodoso wanafunzi wote walikusanyika kupata elimu juu ya Ugonjwa wa Malaria, namna sahihi ya kufua chandarua , ushonaji wa chandarua chenye matobo na njia ya kudhibiti mazalia ya mbu maeneo ya Jirani na makazi ya watu.

   

Akiongea wakati wa utoaji wa elimu Mtafiti Dr. Amina Issae alisema Lengo la kutoa elemu ya ugonjwa wa malaria katika shule ya msingi  ni kwamba wanafunzi wa shule za msingi ni mawakala wazuri wa kusambaza taarifa kwenye jamii. Hivyo, elimu ya kujikinga dhidi ya magonjwa ikitolewa  kwa watoto wa shule inaongeza uelewa katika kizazi kipya na pia, kufikisha taarifa kwenye jamii hususani wazazi, walezi, ndugu , jamaa na marafiki kwa ujumla.

Related Posts

شرط بندی پرسپولیس شرط بندی استقلال شرط بندی روی تراکتورسازی تبریز شرط بندی روی سپاهان شرط بندی رئال مادرید بارسلونا شرط بندی شرط بندی psg سایت شرط بندی جام جهانی شرط بندی جام جهانی 2026 سایت شرط بندی جام جهانی 2026 بازی انفجار رایگان سایت انفجار ضریب بالا بهترین سایت شرط بندی فارسی شرط بندی بدون فیلتر شرط بندی بازی رولت شرط بندی پوکر شرط بندی مونتی شرط بندی سنگ کاغذ قیچی شرط بندی بلک جک کرش رویال بت پاسور شرط شرط بندی تخته نرد آنلاین انفجار 2 بت شرط بندی بازی اسلات شرط بندی بازی پوپ سایت سامان بت ریور پوکر 2024 سایت 4030bet ورود به بازی انفجار دنس بت شرط بندی انفجار دنس آموزش بازی پوکر سایت شرط بندی 123 بهترین شرط بندی بهترین سایت شرط بندی انفجار اپلیکیشن بازی انفجار دانلود بازی انفجار انفجار بازی ربات بازی انفجار کازینو آنلاین ایرانی انفجار پولساز ورود به بازی انفجار بازی انفجار با شارژ 10 تومن سایت bet betyek وان ایکس برو آدرس سایت بت یک سایت دوست دختر اونلی فنز فارسی پیدا کردن دوست دختر ورود به ریور پوکر پدرام مختاری پویان مختاری نازنین همدانی مونتیگو داوود هزینه بیوگرافی آیسان اسلامی بیوگرافی دنیا جهانبخت سایت رسمی حسین تهی بیوگرافی کوروش وانتونز سایت آرتا وانتونز رها وانتونز بیوگرافی ربکا قادری سحر قریشی بیوگرافی تتلو بیوگرافی مهدی طارمی الناز شاکردوست سایت عادل فردوسی پور بیوگرافی نیلی افشار بیوگرافی محمدرضا گلزار سایت armin2afm بیوگرافی شادمهر عقیلی بیوگرافی سردارآزمون بیوگرافی علیرضا بیرانوند بیوگرافی رامین رضاییان وریا غفوری بیوگرافی علی دایی بیوگرافی پوریا پوتک مدگل سایت حصین بیوگرافی صدف طاهریان فرشاد سایلنت بیوگرافی آریا کئوکسر بیوگرافی sogang بیوگرافی میا پلیز بیوگرافی مهراد هیدن سایت رسمی سهراب ام جی بیوگرافی علیرضا جی جی بیوگرافی بهزاد لیتو اشکان فدایی بیوگرافی رضا پیشرو بیوگرافی گلشیفته بیوگرافی هیپ هاپولوژیست بیوگرافی سارن بیوگرافی آدام مرادی بیوگرافی محمد هلاکویی بیوگرافی علی حسنی سایت رسمی علی حسنی بیوگرافی ساسی خواننده بیوگرافی ابی باربد معصومی حسینی فایننس بیوگرافی امیرحسین نام آور بیوگرافی امین فردین بیوگرافی فرزاد وجیهی